[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mie hata ukinielezea unafikiri nitaelewa mama wengine mambo ya kutunza natural hair tunayajulia wapi ikiwa kuchana tu nywele ni hadi mizimu ya mababu ikae kikao
Ndiyo Aunt wengine neno kupendeza kwetu ni msamiati [emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dogo umenichekesha sana...
Nikija unanipa majuice ya ubuyu tu mabayaaa. Sitaki. Itume.Kujia nyumbani[emoji1787]
Kweli tena. Ila ndio nafungulia hapa. Muda wa kufuturu.Khaaa
Kwahiyo unarudia au hurudii?Eenh mmeanza na nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnijaze ujinga woiiii sijaziki
Bado tu hujaona ona jamani? Si kichwa tu 🤪Kuona ndiyo kipengele sasa[emoji28]
Ngoja tuone one...
Cutting Master anajua mno yule Mtu...
Kwanza ana Customer care nzuri sana
Nina kijana wangu pale Sulle...Anajua kukitendea haki hiki kichwa...
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ndiyo Aunt wengine neno kupendeza kwetu ni msamiati [emoji16][emoji16]
He he he he....Nikija unanipa majuice ya ubuyu tu mabayaaa. Sitaki. Itume.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kweli tena. Ila ndio nafungulia hapa. Muda wa kufuturu.
Ngojea...Ngojea kidogo[emoji1]Bado tu hujaona ona jamani? Si kichwa tu [emoji2957]
Yuko vizuri… namtizamaga sana IG
Mambo za wenyewe hizo auntie usirudie kabisa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nilipitiwa Auntie....
Sirudii tena...
HahaahahNakutumia Auntie....Chek muda siyo mrefu....
Au tufanye ile mida yetu?[emoji28]
Shem naye jamani....Itabidi apende tu...
[emoji23][emoji23][emoji23] sipendi maubuyu mimi wala juice zakeNikija unanipa majuice ya ubuyu tu mabayaaa. Sitaki. Itume.
Niache we dadaKweli tena. Ila ndio nafungulia hapa. Muda wa kufuturu.
Auntie sitakiiiiKwahiyo unarudia au hurudii?
Tupo wote we mzeeChief guard niko guard,lindoni
hahahahaha,utaweza kulinda?Tupo wote we mzee
Nitaweza bwana ebu tuwe wote leo lindonihahahahaha,utaweza kulinda?
sawa ,uje na koti la baridi,nikukabidhi SARNitaweza bwana ebu tuwe wote leo lindoni