Alufusasini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....lol, nilimtumia afusasini kwenye basi kaenda pale hana kitambulisha wakamnyima. Huku porini hakuna wakala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio inavyokuwaga sasa me mwaka huu nimeingia majina mawili ninavyochanganyikiwa Mungu mwenyewe anajua
....bora wewe mbavu zako. Ile hela iliporudi nikasema na kushukuru kwamba nimeuona mkono wa bwanaAlufusasini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wallah mbavu zangu.. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kaa nalo tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ya Ubuyu nilifundishwa na Rafiki yangu mmoja..
Siku hizi nimekuwa expert balaa...
Shinda yake linakaa mno tumboni.. woiii
Kweli vikoba vinatusaidia mnooo mnoo Mungu azidi tu kutusaidia. [emoji120][emoji120][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tutaweza Auntie...
Vinavyotufaa tunaachaje?
Bwana alikuwa pamoja nawe[emoji2]....bora wewe mbavu zako. Ile hela iliporudi nikasema na kushukuru kwamba nimeuona mkono wa bwana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kaa nalo tu
Kabisa Auntie....Kweli vikoba vinatusaidia mnooo mnoo Mungu azidi tu kutusaidia. [emoji120][emoji120]
Na baridi hilii!! Akuu sidanganyiki.Mbwa anaweza kutambua muda wako wa kurejea nyumbani kutokana na hatufu yako ya mwili uliyoacha nyumbani kabla ya kuondoka.View attachment 2274509
Inategemea ntu na ntu [emoji1787]Wanawake huvutia zaidi wanapokua wanatabasamu ila wanaume huonekana attractive wanapokua wemenuna.View attachment 2274514
Kumbe nao wanakunya!!Kisiwa cha Maldives kimeundwa kwa kinyesi cha Samaki.View attachment 2274523
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mbona we unatuchoshagaMmechat mno bwana!! Mnanichosha kusoma.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Khaaah!! Watuache.
Kupuu apuu Kuku, Akipuu Bata ameharisha..Mmechat mno bwana!! Mnanichosha kusoma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kupuu apuu Kuku, Akipuu Bata ameharisha..
Watu wamevurugwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2274551
Wanatuchafua tu[emoji1787]Usiniambie! View attachment 2274566