[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...ukipotea bila kunipa mawasiliano yako nitaitisha press na naweka tangazo ITV Daima lirushwe kwenye taarifa ya habari
Yaaani...Ameen auntie [emoji120][emoji120] yaani auntie we ndio mimi nimekuwa mvivu na jf sasa hivi na haya mambo za bundle ndio kabisaaaa
Aki tena...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hivi vikoba vitatuua
Auntie Wewe...Hapana auntie niandalie ya ukwaju ila usiniwekee iriki tu wala mavitu mengine
Nimechekaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio ninaloliona auntieYaaani...
Kuna wakati tutakuwa ndugu wasomaji kabisa..
Waiiii...hapana kwa kweli..Yaani apple punch haipiti kabisaaa mdomoni yaani auntie kuna vitu me sitaki hata kuviona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] me muhuni siku zote auntie
Unaanzaje kuacha vitu vinavyokusaidia auntieAki tena...
Ila ndiyo hatuviachi..
Basi ukwaju naipenda sana sana sio hayo maubuyu yako auntieAuntie Wewe...
Nitakuandalia Mama...
Mimi ya Ukwaju huwa inaniumiza meno.. siiwezi..
[emoji23][emoji23]...kuchomea tena sio kidogo. Majuzi anko Lee aliniharibu kwa aunt yangu so akaona aniharibie na mimi kumbe tayari nishamsoma, nikampa namba ya wale wadada waonatoa ushauri nasaha. Kilichompata huko kaahidi kuniharibia. Hapa nilipo nimemuandikia aunt yangu amsamehe lakini hataki kujibu, nampigia simu lakini simu inaenda voice mail, eti ukisikia mlio rekodi ujumbe wako, niko studio narekodi nimtumie
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Hahahaha zimefika auntie
Kabisa..Ndio ninaloliona auntie
....kama ndugu zako ndiyo hawa wanaokutana na walevi wanageuza njia, nikiwafuata kuwaomba mawasiliano na wakaniona nimevaa saa ya Citizen si ndiyo watakwambia mimi ni mstaafu . BTW, kweli huwa navaa saa na nyingine nimenunua jana kwa mmachinga linikuta bar akasema kauziwa na mtu aliinunua shoppers, akilini nikajua tu mtu kaibiwa, mara moja moja sio mbaya kuvaa mali ya wizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usifanye hivyo...
Nina ndugu zangu hapa watakupa Info.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nyieeeee....kama ndugu zako ndiyo hawa wanaokutana na walevi wanageuza njia, nikiwafuata kuwaomba mawasiliano na wakaniona nimevaa saa ya Citizen si ndiyo watakwambia mimi ni mstaafu . BTW, kweli huwa navaa saa na nyingine nimenunua jana kwa mmachinga linikuta bar akasema kauziwa na mtu aliinunua shoppers, akilini nikajua tu mtu kaibiwa, mara moja moja sio mbaya kuvaa mali ya wizi
Yaaaaani...Unaanzaje kuacha vitu vinavyokusaidia auntie
....lol, nilimtumia afusasini kwenye basi kaenda pale hana kitambulisha wakamnyima. Huku porini hakuna wakala[emoji23][emoji23]
Mtumie alufu kumi anunue kifurushi...[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio inavyokuwaga sasa me mwaka huu nimeingia majina mawili ninavyochanganyikiwa Mungu mwenyewe anajuaYaaaaani...
Kuna hicho kimoja hicho...
Najisemeaga wakishatoa gawio.. najitoa..
Wueh!!! Naweza sasa...
Nipo tu[emoji2]tukigawana naanza tena..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi ukwaju naipenda sana sana sio hayo maubuyu yako auntie
[emoji23][emoji23][emoji23]....kama ndugu zako ndiyo hawa wanaokutana na walevi wanageuza njia, nikiwafuata kuwaomba mawasiliano na wakaniona nimevaa saa ya Citizen si ndiyo watakwambia mimi ni mstaafu . BTW, kweli huwa navaa saa na nyingine nimenunua jana kwa mmachinga linikuta bar akasema kauziwa na mtu aliinunua shoppers, akilini nikajua tu mtu kaibiwa, mara moja moja sio mbaya kuvaa mali ya wizi