Dada wewe hupendi hela?Nyau wewe!!! Unapenda hela kama Wallet[emoji28]
Hiyo Damu uliambiawa ipo nyingi au unajisemea tu?
Nakumbuka kuna wakati nilienda ku'donate Damu bhana... nikijua damu imezidi.. Ile nafika wananichukua vipimo.. nikaambiwa sina damu ya kutosha[emoji848]... wakanielekeza vitu vya kuongeza damu.. Nilichoka.
Asante sana[emoji12]Vizuri...
Uwe na J3 njema na Wiki yenye mafanikio.
Baraka tele
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Si jina jamani auntie usimfanyie hivi shemela wangu
Baby wangu? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Nimeshangaa auntie kumbe baby wako alimtumia
Aliogopa majibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Hivi binamu obe alikuuliza kweli
Siwatakiiii.Tutabaki hapahapa
Mirinda nyeusi.Kwani auntie unakunywaga
Hela ndilo la msingi auntie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unawaza michezo unawaza vikoba unawezaje kuwaza na mapenzi jamani tutafuteni helaaa tuuu
Teh teh teeeeh!....aunt, sikuuliza maana nilipata majibu toka kwa muhusika mwenyewe. Halafu niliyetaka kumuuliza alisema alikutana na shemeji yake mlevi, mara ya mwisho nakumbuka sikuwa mlevi