Makapuku Forum

Happy furahiday wadau wa jukwaa hili na ninakutakia wikend njema wewe unayekuwa hapa na kupafanya eneo hili kuwa sehemu nzuri na sahihi kuwepo.

Nitakavyoitumia wikend yangu sasa, nitaenda kumtumikia baniani na kisha nitafanya kama ninavyofanya kila wikend
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…