Makapuku Forum

TETESI UPDATE.

[emoji3578]kilichowapata Simba Kwa Adebayor huenda ikawatokea tena Kwa kiungo wa Horoya FC Morlaye Sylla ambaye taarifa za uhakika asubuhi hii zinasema Mabingwa wa ligi ya mabingwa Africa Wydad Casablanca wametuma ofa Yao ya kumtaka kiungo huyo.! Simba inaelezwa kinachochelewesha dili hili ni suala la pesa ikiwemo mshahara wa mchezaji huyo.
 
Kama wataanza kuchukua waliofaulu vizuri tu basi na waanze kuwalipa vizuri sasa hakuna visingizio tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…