Dah! Na leo alicho nifanyia namtazama tu.. Kaniambia nimpe lift, nimejipinda nimeenda na kirikuu changu nimeweka na wese la buku ten, kanikalisha masaa matatu pale nje ya ofisi naota joto tu.. badae nikaona anatoka na Lexus LX 570.. yaani ila fresh tu