[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndugu gani mdogo wako hata hunipi hela[emoji57][emoji57][emoji57]
Utajua hujui.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hasara yake si unaijua?
Ulonzi hauendi kwa Mentali[emoji2]
Yanahusu hela?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama unakumbuka madeni basi kumbuka na vingine...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka mno... Dah!!!
Sikutegemea..
Ngoja nikutafutie lingine...
Si ndugu mnanifilisi[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hela yenyewe ndiyo nadaiwa hivi?
Wallah sitoi...Niue[emoji2]
Na unavyoipenda hela... ila ndiyo hivyo haikupi ushirikiano..[emoji2]
Anaumwa mwenzio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku hizi amekuwa mkimya jamani...
Haha hamna nimepumzika tu kidogoSiku hizi amekuwa mkimya jamani...
Duuh umejuaje aseeAnaumwa mwenzio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtoto mdogo hivyo usingizi unagomaje?Haha nipo mama nilikuwa napita tu maana usingizi umegoma nikaona niingie tu jf
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duuh umejuaje asee
MweeMtoto mdogo hivyo usingizi unagomaje?
Aahh naona unataka kutusingizia tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa mnyakyusa na ukimya wapi na wapi[emoji1745][emoji1745][emoji1745]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila auntie akili zako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nipe jina lingine la bus lilokaa kama tusi auntie, atanitambua huyu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we ndio kiongozi wetu bwanaAaah mie nitoeni kwenye huo ujambazi wenu mtoto wa watu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Lina maana gani kwanza? Isijekuwa lina maana ya kimbinyiko buree[emoji1787]
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi hii kimandolu ina maana gani?
Ni mwenzangu auntie ila niache kwanzaKwahiyo mimi sio mwenzio?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na kuiacha hatuweziYaani hii app ni kama auntie yako maki, ana kiburiii na visa ila ndio ndugu yetu tutafanyaje[emoji134][emoji134]