InshallahNi kweli kabisa kikubwa uzima na tunaonana
Isitoshe kusema tukutane hapo Qatar uzuri mashabiki wa Brazil tunajuana. [emoji16][emoji16] View attachment 2231159
Endelea kulinda we mzee tupo busy vibaya mnooooMko wapi.niko mitaa yenu hapa. Nalinda msiibiwe
hahahahahaEndelea kulinda we mzee tupo busy vibaya mnoooo
Furahi tu we mzeehahahahaha