[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sautiiii auntie nafurahi sana umekamatika[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mwenzako napendwaaaaa( kwa Sauti ya lile Jinga)[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hayo mambo ya kuwa bubu ndio siyawezi auntie kindege kinahusika au niweke dnd simu text zote zinaingia hazijionyeshi kwa screen na simu ipo hapo sitaki shida kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila Auntie wewe hapana... una mbinu za kijasusi...
Mambo ya kindege[emoji2]Weuh!!!! Umenikumbusha enzi za Ujana Mambo yalivyokuwa mengi....
Siku hizi na huu Uzeeee[emoji2]Woiiii...Sina muda...Nina Rafiki yangu anasemaga ya nini kujitesa, simu yangu bado nipate nayo shida, mara silent, Simu inakaa imefunikwa muda wote... hapana....
Mimi ikipigwa napokea tu Auntie... Ila mazungumzo yatakuwa kwa utaratibu maalumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yale ya eeeeh!!!, aaaaah!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sautiiii auntie nafurahi sana umekamatika
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787] auntie ebu niache tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hayo mambo ya kuwa bubu ndio siyawezi auntie kindege kinahusika au niweke dnd simu text zote zinaingia hazijionyeshi kwa screen na simu ipo hapo sitaki shida kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Auntie wewe ni Jasusi mbobezi Wallah!!!
Naomba uje unifundishe hiyo ya dnd...Puliiiizzzzzz[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakufahamu vyediii auntie kweli umekamatika mpaka mda wa kuingia jf huna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa nacheka hovyoooo...
Kwamba Auntie unanifahamu vyema ndugu yako.[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimetoka kuiweka hapa muda si mrefu yaani simu ipo mezani sina time nayo kumbe huku watu wanapiga na text zinaingia kama zote yaani na simu ipo on wazungu shikamooni
Ila Auntie jamani..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakufahamu vyediii auntie kweli umekamatika mpaka mda wa kuingia jf huna
Auntie dnd ni kibokoooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] tuachie sisi majasusi we endelea tu kupokea simu zako na kuwa bubu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nahitaji kuijua hii Auntie...Inaweza kutumika kama Kinga wakati wa dharura[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo ninayoyapenda mimi haya mambo ya kufungiwaIla Auntie jamani..
Imagine tangu J3....Kuna suala la kiufundi lilikuwaa linawekwa sawa Aunty akee[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Auntie dnd ni kibokoooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] tuachie sisi majasusi we endelea tu kupokea simu zako na kuwa bubu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo ninayoyapenda mimi haya mambo ya kufungiwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbona kuchoma auntie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
Auntie tulale...
Tutachomaaa hapa[emoji23]
Wachaaa weeeh auntie [emoji847] macho 3 inakuchanganya eeenh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Undugu hazina yetu ujue...
Unataka siku nikamatike Auntie? Hebu uje unieleweshe Auntie....
Mimi kwenye hii simu.. nadhani bado nina viti vingi vya kutumia na vikanisaidia ila sijui.. Uzee huu[emoji114]Hapana.