Makapuku Forum

Niwatakie Usk mwema wote

Mungu alivyo tupa afya na maarifa kwa Leo na akatufanyie Usk kuwa na ndoto njema na ulinzi wa nalaika ukatamalaki katika nyumba zetu na zile nguvu zilizo kinyume na lengo lake kwetu basi malaika wake wakazidishwe zaidi ili tuendelee kuwa salama na akatwamshe salama


Amen
 
Amen..Amen
 

...uwe na usiku mwema mdau.
Na sisi tunaenda kulala sasa.

Lee simu yako imeachwa pale mapokezi, wamenipigia simu baada ya kubonyeza namba za emrgency contact. Yule dada kumbe si mwizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…