Yaani we mzee jamaniiTutakomaje kwa utamu mliokuwa nao walimbwende mmebarikiwa mautamu ova asali mbichi ile ya Tabora! Mkitukula na Koni ndio iiiiiiissssss!!!!! Mnatumaliza tunabaki tumetoa macho kama mjusi kabanwa na mlango[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sikuamini auntie wala sitaki kukuaminiKwa hiyo mimi huniamini Auntie[emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kusukuma vingine ni kiherehere chako tuMoyo unasukuma damu tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwendaaa huko...
Ila matapeli wamekuwa wengi humu jamani....Mweeeh!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vits no b sasa utakutana na nini hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo kwa Vits nimecheka mno...
Arudi wapi, nae anatalii[emoji1787][emoji1787]Yaaaani!!!
Siku zote mimi najua amesharudi...
[emoji23][emoji23][emoji23] mwenyewe namuona on a katulia kama sio yeyeNaona ndugu yetu ukali wote unapungua taratibu...
Kweli Mungu siyo makaveli10 [emoji23]
Na watu woteeNyieeeee[emoji28][emoji28]
Mapenzi na yaheshimiwe...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena nipo kitandaniKwa kuwa wewe upo Home Auntie?
Mimi nawaza hapa hilo foleni itakuwaje?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwamba auntie nimeandikiwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu si wewe umeandika hiyo aya ya mwisho...[emoji2]
Ila auntieee ebu acha uchocheziNdiyo mapenzi wakati mwingine yako hivyo Shem...pole
Nikajua umepona kumbe ndio unazidi kuwa na hali mbay[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukimuelewa mtu, pesa inakuwaga nyongeza tu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] woooozeeeeerrrr[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zawadi yako nitakusuprise[emoji28]
Kwakweli tuyaheshimu tu hakuna namnaNyieeeee[emoji28][emoji28]
Mapenzi na yaheshimiwe...
WivuuuuuJamani!!! Jamani!!!!
Hiyo sentensi ya mwisho hiyo......Basi sawa.
We nitakupa wa kamsamba yaani wa (rukwa)Ongeza 10 za Dada mtu hapa[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa notification auntie sipati hata tena za tag ndio kabisaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yale mambo nichek PM nitakusidia..ngoja nirudi kule nikakutag Auntie ya nini upate taaabu..
Ila jf ni kichakaKamtaja[emoji28]
[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]Woyooooo
Mambo anayoyapenda auntie yangu usisahau na maharage na mtindi litre 5
Sawa kaka upande uncleSawa ila nikirud Tanzania kila kitu kitakuwa sawa