Hapo sasa .. hiyo ndo starehe yetu pekee iliyobaki . ...Tule tujigaragaze [emoji23]Kwakweli kipenzi acha tu tule yaani kiufupi mambo mazuri mazuri na matamu nayapenda sana yaani niwe na hela nijitese hapana jamani maisha ni hayahaha na tunaishi mara moja
Yewooomi[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Hiyo ni simu tunaita jeneza la kifahari mi nakutafutia simu tofaut ya zilizo zoeleka na watu wengi
Mnajifariji auntie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akina nani hao?[emoji848][emoji848]Wamemshindwa kabisa ila naona unamuweza
Itakuwa surprise kwake tuKama simu gani eti
Kwani hiyo simu mnayo ipenda ina nini cha ajibu kuzidi zingneYewooomi[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Ukistaajabu ya kikuu utayaona ya mndali!!
Ushamkosa auntKwani hiyo simu mnayo ipenda ina nini cha ajibu kuzidi zingne
Kukumis tuHunie
Hahaha hahaha yaani nataka awe tofauti na wengneUshamkosa aunt
Ina apple.Kwani hiyo simu mnayo ipenda ina nini cha ajibu kuzidi zingne
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ushamkosa aunt
Lililo ngw'atwa upande au liko kamiliIna apple.
Naona anataka apate Anko tajiriii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkwe hebu niache.
Mi sijui.Lililo ngw'atwa upande au liko kamili
Si ndio vizuri au?Naona anataka apate Anko tajiriii
Sawa ngoja nikununulie tu upate Furaha ya moyo wako ila mi siipendi hata kidogoMi sijui.
Hapana sio vizrSi ndio vizuri au?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kujenga tuwaachie wengineHapo sasa .. hiyo ndo starehe yetu pekee iliyobaki . ...Tule tujigaragaze [emoji23]
Auntie tuache na simba yetuMnajifariji auntie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sijui bwana nimejiandikia tu mimiAkina nani hao?[emoji848][emoji848]