Pole Auntie...Sijapona auntie ila kidogo sijambo huwa sipatani na ugonjwa wa mafua na kifua vikinipata vinanitesa sana
Hawa watu hawa....
Picha mbalimbali zikionesha msafara na nyumbani kwa Mzee Zorro ulipo msiba wa Maunda Zorro ambapo Watu mbalimbali wamejitokeza kwa ajili ya kumsindikiza Mwimbaji huyu kwenye siku yake hii ya kuzikwa.
Kwenye picha anaonekana mmoja wa Mtoto wake watatu aliowaacha. View attachment 2189507
Asante auntie yaani me huwa unanitesa sana na unanikomesha sanaPole Auntie...
Utakaa sawa tu...
Binafsi Ugonjwa unaoitwa mafua siupendi jamani...Hata mtu akiumwa namuonea huruma namna unatesa...
Naaam simba guvu moyaaa.Hawa watu hawa....
Watarudi Johannesburge kitongoji chao cha Soweto wakiwa hoi...
Kauli mbiu ni ile ile..." kwa Mkapa hatoki mtu."
Mungu Ibariki SSC.
Mungu Ibariki Tanzania.
Acha auntiee watoto jamaniii halafu wadogo
Picha ya huyo mtoto imenitoa chozi...
Mungu awalinde jamani