[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimewamiss pia auntie jamani ndio naachiliwa hapa shell kwangu [emoji847]
Ufurushi unaachikaga? Nani alikudanganya? Once you are a furushi always a furushi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si uliniambia ufurushi umeacha lakini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndio auntie nipo kijijini kwangu sasa ndio nimefika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo ya Sheli[emoji23]Niache tafadhali Auntie..
Sawa Auntie...Pole na Majukumu jamani...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndio auntie nipo kijijini kwangu sasa ndio nimefika
Hahhaahha asante auntie yangu [emoji8]Sawa Auntie...Pole na Majukumu jamani...
Moto huu unawaka kote kote. Huyu boya Putin hafai [emoji16][emoji16]Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na Maji (EWURA) imesema kuwa sababu za bei za mafuta kupanda ni pamoja na mgogoro wa kivita uliopo kati ya nchi ya Urusi na Ukraine na kupelekea kuwepo na uhaba wa upatikanaji wa mafuta duniani pia imepelekea gharama za mafuta na za usafirishaji mafuta kupanda.
Mkurugenzi wa Petroli wa Mamalaka hiyo Gerald Maganga amesema bei zilizotangazwa leo zitakazoanza kutumika kesho zimezingatia gharama zote halisi za mafuta ikiwa ni pamoja na ada ya mafuta ya shilingi 100 ambayo ilikuwa imesitishwa kuanzia mwezi December mpaka March.
Mafuta yanayopokelewa katika bandari ya Dar es Salaam kwa Petrol imepanda kutoka shilingi 2540 kwa lita kwa mwezi ulipita hadi shilingi 2861 kwa lita ikiwa ni ongezeko la shilingi 321. Kwa mafuta ya diesel yanayopita bandari ya Dar es Salaam yamepanda kutoka shilingi 2403 kwa lita mwezi uliopita hadi 2692 ikiwa ni ongezeko la shilingi 289.
View attachment 2176871
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Hahhaahha asante auntie yangu [emoji8]
MweehMoto huu unawaka kote kote. Huyu boya Putin hafai [emoji16][emoji16]
View attachment 2176886