Makapuku Forum

Hii niliyonayo kwa Ushindi huu naona itachakaa mapema Auntie..
Nifanyie mpango wa kupata nyingine..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa auntie upo dar unakosaje jezi me jamani Lee wangu ndio mnunuaji jezi wangu tulivyopeana mapumziko woiii nilitoa elfu 70 kununua jezi mbili ila roho iliniuma sijazoea [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli elfu 70 jamani nikamkumbuka Lee ghafla angekuwepo hizi shida nisingepata
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Karibu Shem...nilikuona mahali jana ukiongea mbovu sana

Nikasema wacha ninyamaze...Muda ni Rafiki mzuri..
Tupongeze basi Shem wangu...
Hii tabia yako ya kupita kwa kunyata wala siipendi, sijui umekuwaje siku hizi. Na siwapongezi ng'o![emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu niombee kwa Lee basi Auntie.. Undugu hazina yetu ujue[emoji23]

Eti mlivyopeana mapumziko[emoji23][emoji23][emoji23]umenichekesha Auntie..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu niombee kwa Lee basi Auntie.. Undugu hazina yetu ujue[emoji23]

Eti mlivyopeana mapumziko[emoji23][emoji23][emoji23]umenichekesha Auntie..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eenh Auntie shida niliyoipata acha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…