[emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]kabisaa yaani!!nilikua busy lakini nkawa nakuja kuchekaYaani kazi zimenibana bina nashindwa hata kupumua[emoji1787][emoji1787]
Sina hili wala lile naona tu stoo magodauni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani ukiwa jf huwezi pata stress
Jobless...!!!ni shunie!!!!Kwani kuna habari gani humu jamani?
Jobless yuko wapi?
Kwahiyo unanisimulia habari za mafurushi au nikununie?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi si ndiyo uwa mnyonge wako[emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Amemaliza kuhudumia mifugo yake[emoji23]
Si ndio!! Kwani kuna mwingine tena zaidi yake?
Anzia hapa hapa mchumbaSijui hata naanzia wapi text zote hizoooo
Jobless ndio naingia apa auntie [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ngoja nisome kwanza shots nilizotumiwa kwanza za janaKwani kuna habari gani humu jamani?
Jobless yuko wapi?
🤣🤣🤣Ila familia yangu hizi shots mlizonitumia ngoja kwanza nianze kusoma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Morning babeAnzia hapa hapa mchumba
Gooooood morning
Hii familia yangu naipenda sana kwakweli [emoji847][emoji847][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeamkaa salama?Morning babe
Salama kabisaUmeamkaa salama?
Yenyewe inakupenda sanaHii familia yangu naipenda sana kwakweli [emoji847][emoji847]
🥰🥰🥰Salama kabisa
Ccm ina wenyewe