Makapuku Forum

shangaazi ake mimi huyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we mbwa uoge kwanza utakate halafu uanze kunisema hovyo
Aiseee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Hata hawakuoga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi alikuwa anamsema nan kuwa anaishi godown
Hakiyanani [emoji23][emoji23][emoji23]
Eti Godauni[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]


Nimecheka mno[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tuwekee na mapicha ya magold bwana , tukomesheeee...[emoji1787]
Pole bwana, mti wenye matunda mengi ndio hutikiswa na wengi. Ukiona huongelewi jua huna lolote
Wii mimi natamani nione za hereni za makapu na godown la mtu[emoji1787][emoji1787]
 
Na watu si ndo nyiee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi huku naongea na wadada wachache sana na wote hawawezi muongelea kwangu wanajua namna niko na Shunie. Yani hamna raha kama watu wakuseme halafu uletewe na ushahidi raha sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…