Haswaaa....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio inavyotakiwa auntie tunaishi kutokana na uwezo wetu
Yaaaani..Mimi nachoka jamani...Huku umeme upo na nimeongea na ndugu yangu yupo shinyanga nae analalamika umeme kwamba kuna mgao kwao wapo na giza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaah we tangu lini jobless akajiweza!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mapunye tena auntie
Ha ha ha...Tatizo hamna upako, huo mji hameni mtasingiziwa hadi ebola.
Naam Auntie [emoji847][emoji847] tena unakuwa na amani ya moyoHaswaaa....
Chako kinakupa raha buana...hata kama kidogo...
Cha kupewa kiwe nyongeza tu..kikiwepo sawa, kisiwepo sawa...
Unajua nahisi kuna kamgao leo job ulikatika kama mara 3Yaaaani..Mimi nachoka jamani...
Imagine job tangu asubuhi Hakuna Umeme muda wa kuondoka eti ndiyo wanarudisha...
Nafika Home naambiwa umekatika Saa 12..Hapa ndiyo wamerudisha..
Namna hii si mateso jamani..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila ujue Wewe una Visa sana...Hebu lala basi...
Kabisa..kabisa..Naam Auntie [emoji847][emoji847] tena unakuwa na amani ya moyo
Hahahha namjua vyedi auntie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo Akili zake anazijua mwenyewe...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wanayaweza auntieIla Auntie namna Ile..Mbinguni tukifika si itabidi tupewe Mo Energy...
Maana itakuwa zaidi ya kuchoka...
Ni mateso Auntie..Unajua nahisi kuna kamgao leo job ulikatika kama mara 3
Kabisa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wanayaweza auntie
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Ha ha ha...
Ni wewe unaniambia haya maneno kweli? Kuwa uwezekano Wamekudukua...
Hebu ongea na Melo akuturudishie akaunti yako mdogo wangu[emoji23]
Hahahah pole auntie kijijini kwangu upoNi mateso Auntie..
Imagine namna hii na huu mji? Waiiiiiii
Yaani ana hangaika vibaya sana halafu mimi huwa siachwiii naachaKabisa...
Na wanayaweza kweli...na muda wanao..
Bidada anahangaika vibaya....
Nakutafuta 🙊[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bwana bwana auntie yangu espy kaja kufukua makaburiBado tu hujapoa [emoji1]