Kijijini ninaposema ni kimara ndio napaita hivyo auntie yangu mwanzo nilikuwa mjini uko sinza kwa wajanja nimetoka nimehamia kimaraSawa Auntie...Nimekuelewa vyema kabisa..
Itakuwa mimi akili zangu hizi...Woiiiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuona nakuona hapa EB25 Shem
Lee
Unatupeleka haraka sana... umeshabadili Avatar Shem?
Nilivyooana nikajua Ingizo jipya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa Shem...Ndioo leo kichwa chotee kimejaaa lee wake
Nipo naangalia desire T nipo homeNakuona nakuona hapa EB25 Shem
Nimekuelewa vyema sana Auntie...Kijijini ninaposema ni kimara ndio napaita hivyo auntie yangu mwanzo nilikuwa mjini uko sinza kwa wajanja nimetoka nimehamia kimara
Nipo naangalia desire T nipo home
Umenielewa sasa auntie yangu nikisema kijijini ndio huwa namaanisha hivyo
Hapana ya azam twoDark desire au
Hapana ya azam two
Siku ile nilikuelewa na nimekuelewa vyema Aunty akeee....Umenielewa sasa auntie yangu nikisema kijijini ndio huwa namaanisha hivyo
...hapo kijijini ulipo, upo singo?
Hahahahah hapana auntie maeneo yangu kwa jana nisingeweza sababu leo job asubuhi ila leo maeneo yangu yanawezz nihusu ngoja mchumba angu aamke anitumie muamalaSiku ile nilikuelewa na nimekuelewa vyema Aunty akeee....
Nilijua upo kwenye yale maeneo yako hujarudi huko Kijijini Auntie..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaha usiniambie auntie ulikesha jamani