Kijijini wapi auntie naanzaje kuwa kijijini mimi
Huko huko Auntie!!! Si unakumbuka siku ile ulivyonishtua?Kijijini wapi auntie naanzaje kuwa kijijini mimilabda huku kwangu kijijini ya dar
Hahhaha nipo kijijini dar huku kwangu ndio napaitaga hivi mwanzo si nilikuwa naishi sinza sasa nimetoka sinza nimehamia kimara kwahiyo napaita kijijiniHuko huko Auntie!!! Si unakumbuka siku ile ulivyonishtua?
Ndiyo upo Kijijini Dar au upoooooooo?
Sent using Jamii Forums mobile app
🤗🤗🤗Hahhaha nipo kijijini dar huku kwangu ndio napaitaga hivi mwanzo si nilikuwa naishi sinza sasa nimetoka sinza nimehamia kimara kwahiyo napaita kijijini
I love ❤️ u
Auntie!!!!...Hahhaha nipo kijijini dar huku kwangu ndio napaitaga hivi mwanzo si nilikuwa naishi sinza sasa nimetoka sinza nimehamia kimara kwahiyo napaita kijijini
Auntie!!!!...
Sawa..tutaongea wakati mwingine..naona na wewe chupa ya kijani imekolea
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaha auntie ujue nipo mzima naingia kazini asubuhi naanzaje kunywaAuntie!!!!...
Sawa..tutaongea wakati mwingine..naona na wewe chupa ya kijani imekolea
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaha auntie ujue nipo mzima naingia kazini asubuhi naanzaje kunywa
Usichoelewa hapo auntie nini jamani
Asante babe kwa kunitetea
HahahahhaahMakopaa unayonimwagiaaa
Lee
Unatupeleka haraka sana... umeshabadili Avatar Shem?
Nilivyooana nikajua Ingizo jipya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Auntie...Nimekuelewa vyema kabisa..Hahhaha auntie ujue nipo mzima naingia kazini asubuhi naanzaje kunywa
Usichoelewa hapo auntie nini jamani