Rangi mnachagua wenyewe
HahahahahahahaEeenhnajua utaniambia vizuri tukionana
Au tuwapangie ?Nyieee auntie yangu kama nakuona
Niliforce kujificha kule kumbe chaka langu ni hapa, sasa napewa amani mapenzi yasiyo na mipakaauntie niache na chaka langu la zamani yaani kama namuona auntie Espy Eroni nimesema maswali sitakiiii
Najua tu utaniambiaHahahahahahaha
Pole Auntie..Nilikumention kabla ya hapo nikaona kimya auntie yangu
Hahahahahahaha alijuaa namba DZ...
Tutawapangia bwanaAu tuwapangie ?
Alililililili....Roho yangu
Si bora vivuliiiiNajua tu utaniambiakwahiyo ukawa unatumiwa vivuli babe wangu
Dompo tunamtumia jpili auTutawapangia bwana
Sakayo ananiambia yupo mcheza kwaito maarufu
Hili balaa ni zito shem lake...Alijifanya hajasikiliza wimbo wa alikiba ...chake lake ni lee
Kama ni siku umenichekesha ni leo Auntie..Nimecheka jamani
Na mimi siulizi swali..Ila kuna mambo yanachekesha jamani...
Aki Mapenzi wewe!!! Enjoy Auntie....Enjoy..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyieeee!!!!Niko hapa mcutee wanguu ...nakupendaa mpaka najionea wivuu
Alililililili....
Mwaka wetu huu!!! Tupo live...
Na watuache jamani...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekaribia.Salama mkuu karibu sana
Nampendaaa sana huyu kiumbee anajuaa sema tu ukivurugee wangu sijui huwa tunachezewaa tuvurugane