Hii nchi ngumu jamanBODI YA LIGI: KLABU HAZIJAPATA CHOCHOTE KUTOKA GSM [emoji599]
.
Mwenyekiti Bodi ya Ligi Steven Mguto amesema:” "Nikiri kwamba klabu hazikupata chochote tangu tuliposaini mkataba. Mpaka sasa klabu zimeitangaza GSM kwa miezi mitatu hivyo tunasubiri wanasheria wetu walipitie hilo tuone kisheria pia limekaaje," View attachment 2112004