Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
TRY AGAIN: SIMBA HAINA KIBURI CHA KUMUACHA WAWA
.
Mwenyekiti wa Simba, SalimAbdallah Try Again amefunguka kuwa Simba haina kiburi cha kumuacha beki wao wa kati, Pascal Wawa kiholela wakati bado anahitajika kuisaidia timu na hata siku moja hawataongozwa na tetesi kwa kuwa ni za kawaida kusemwa.
.
“Wachezaji walikuwa wanatakiwa kutolewa kwa mkopo tumefanya hivyo na wameanza majukumu yao kwenye timu zao, hivyo bado Wawa ni mchezaji wetu, hivi kweli kuna beki kama Wawa kwenye ligi hii,” amesema.
.
Aya tumalize Utata kwenye Ligi yetu kuna timu ataenda Wawa akose namba __!!