Makapuku Forum

Makapuku Forum

Screenshot_20220101-151056_Instagram%20Lite.jpg
 
Shunie happy belated birthday wishes kwako

Umezaliwa kipindi cha msimu wa sikukuu na hivyo ni hakika umekuwa na wakati mzuri kama ulivyo mzuri na mwema hapa jukwaani.
Hepibesidei
 
Happy new year 2022 familia nzima ya jukwaa hili ninalolipenda sababu ya kuwepo kwa mtu makini unayesoma salam hizi.

2022 tuianze kwa kutabasamu kwa sababu kila mmoja ni muhimu kwa mwenzake, haijalishi. LLL. Acha Upendo Ushike Hatamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom