Makapuku Forum

Didier Gomes anaamini Simba wanaweza kuchukua Ubingwa wa Afrika miaka ijayo ingawa wanatakiwa kuwaweka pamoja wachezaji wao bora:

“Kama Simba wanataka ubingwa wasiuze nyota wao, wakikaa kwa pamoja muda mrefu na kuungana bila shaka watachukua ubingwa na kuwa timu tishio hapa Afrika zaidi ya sasa,”
.
“Wachezaji waliosajiliwa kwasasa wengi wao bado wanaendelea kukua hivyo wakija wakaungana na wale waliokuwepo bila shaka watakuwa tishio na hilo lipo wazi.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…