Saikolojia inasema watu kwenye mahusiano wanaojiamini kulingana na kiasi cha pesa wanachoingiza au walichonacho huwa na migogoro mingi kwenye mahusiano yao. Kwa maana nyingine ni kwamba watu wanao- focus sana na pesa mahusiano yao yanakua hayako imara.
...binamu umepotea sana, nashukuru ninaendelea vizuri na naamini uko poa wewe na family. Tupo tu hapa na anko wangu ambaye mbali ya kuachika yuko kwenye harakati ya kurudi kule kule kwa zamani, msemo wake eti ya kale hayanuki