Mimi peke yangu ndio huwa sichepuki [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38], kwani inahusika hata kama huwa siingizi yote naweka kichwa tu?[emoji1][emoji1][emoji1]Asilimia 90% ya aina zote za ndege wanakuwa na mke"Mpenzi" mmoja lakini ku - cheat (kuchepuka) ni kawaida.
Hivi ni Kiumbe gani duniani hakiwezi kuchepuka!!?View attachment 1889703