Nani kaimba hii nyimbo ungeweka na link jamani
Kumbe hii
Aliyoyaongea humo yote ni kweli kuhusu wewe... 😉Kumbe hii
Bas sawa [emoji3][emoji3]Siongopei huo ndio ukweli we mzee
He he unavyopenda kunijaza sasa ila nimekuzoeaAliyoyaongea humo yote ni kweli kuhusu wewe... [emoji6]
Nakujazaje wakati ndiyo ukweli...He he unavyopenda kunijaza sasa ila nimekuzoea
Tumia ile formula ya jaza ujazwe [emoji1]He he unavyopenda kunijaza sasa ila nimekuzoea
Ndio ipoje we mzeeTumia ile formula ya jaza ujazwe [emoji1]
TupoooHumu leo mmejua kulala
Pole kwa kuugua mwayaTupooo
Asante mwayaPole kwa kuugua mwaya
Bora nilivyokukurupua cheupe dawa maana unavyodeka ungelala week nzima...Thantee babe [emoji8][emoji8] eti ninavyodeka na uzee huu jamani