Juzi kati nimejifurahisha tu mwenyewe napenda vitu vizuri nimetoa 1.5 ili mradi moyo wangu uridhike tu kwa kinachotaka
Kwako kinaweza kuwa kitu cha hovyo ila upande wangu moyo wangu umeridhika yaaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu sijali chochote pesa inatafutwa tutatafuta tena