Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,386
- 95,820
Na Nazi iendeleeMkuu mpya wa Wilaya ya Songwe ameanza kazi ikiwa ni siku chache tu toka ateuliwe na Rais Samia Suluhu ambapo moja ya alivyokutana navyo ni Hospital ya wilaya Songwe mkoani Songwe kutotoa huduma siku za jumamosi na jumapili kutokana na uhaba wa Watumishi wa afya.
DC Simalenga ametembelea hospital hiyo na kuagiza huduma zirejee maramoja na Wananchi wahudumiwe saa 24 siku 7 za wiki wakati upungufu huo wa Wafanyakazi ukifanyiwa kazi.
Taarifa imeeleza kwamba mahitaji ya Watumishi katika hospital hiyo ni 250 lakini waliopo sasa ni Watumishi 11 tu. View attachment 1829531View attachment 1829532
Namwambia nampenda sana...Unapopata nafasi ya kumwambia mtu unampenda mwambie tu na mzidi kupendana [emoji7]
Naomba nikupende zaidi ya sana...Ukinipenda nitakupenda sana yaani sana tu [emoji847][emoji847][emoji847]
Tupendane tuNaomba nikupende zaidi ya sana...
Nani huyo etiNamwambia nampenda sana...
Naomba nikupende mimi sana...Tupendane tu
Cheupe dawa... akicheka ana mwanya...Nani huyo eti
Nipende tu jamaniNaomba nikupende mimi sana...
HahahahahCheupe dawa... akicheka ana mwanya...
Wewe hata usipinipenda sawa... mimi nitakupenda hivyo hivyo...Nipende tu jamani
Kaone vimacho vyake vizuri... lips ndiyo usiseme...Hahahahah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Una nini lakiniWewe hata usipinipenda sawa... mimi nitakupenda hivyo hivyo...
Leo unaisifia vimacho vyangu na huwa unavipondaKaone vimacho vyake vizuri... lips ndiyo usiseme...
Navipenda vimacho vyako...Leo unaisifia vimacho vyangu na huwa unaviponda
Mbona huwa unavisema sasa siku nyingineNavipenda vimacho vyako...
Sababu vinakua vimelegea sana...Mbona huwa unavisema sasa siku nyingine
Nakuona ulivyojiachia...Nipo apa mimi
Hahahha hivi huwa vinalegea kumbeSababu vinakua vimelegea sana...