Leo katika historia... Hii ni session mpya mjomba?leo katika historia
Miaka 264 iliyopita na katika siku muwafaka na leo, vilijiri vita vya kwanza kati ya vikosi vya Uingereza na India huko katika eneo la Bengali kaskazini mashariki mwa India. Waingereza walishinda vita hivyo na kulidhibiti eneo hilo ambalo katika zama hizo lilikuwa sehemu ya ardhi ya India. Waingereza ambao walianza kuingia nchini India miaka kadhaa nyuma kupitia East Indian Company, mbali na kuyarejesha nyuma majeshi ya India, katika vita vilivyofuata ilimshinda pia hasimu wake mkubwa Ufaransa na kufanikiwa kuyatoa kabisa majeshi hayo katika ardhi ya India.
Hahahahahaha bunamu nilikusubiria kwa hamu unipe madongoLeo katika historia na mjomba mjomba a.k.a king mswati [emoji2]
Baba wawili aliyekuteka naona kakuachia kidogoLeo katika historia na mjomba mjomba a.k.a king mswati [emoji2]
Hahahahaha nakuona mpambanaji hahahHahahahahaha bunamu nilikusubiria kwa hamu unipe madongo
Nitekwe na nani mtoto mlito, nipo tuBaba wawili aliyekuteka naona kakuachia kidogo
Nikose vyote ata likes ... make ile ya asante ishazoelekaHahahahaha nakuona mpambanaji hahah
Naona umekua adimu sana baba wawili ukiingia unatoa likes kama mkwepu jrNitekwe na nani mtoto mlito, nipo tu
Hahahah ile asante huwa inakuja kavu, haina hata udambwi udambwi..Nikose vyote ata likes ... make ile ya asante ishazoeleka
mda mwingine likes inatoshaHahahah ile asante huwa inakuja kavu, haina hata udambwi udambwi..
Hahaha nipo mtoto mlito,Naona umekua adimu sana baba wawili ukiingia unatoa likes kama mkwepu jr
Endelea kuwa mbunifu,jitoe ufahamu na wewe upost Leo Katika Historia na Mjomba Mjomba a.k.a kama zake [emoji2][emoji2][emoji2]mda mwingine likes inatosha
umenikumbusha ntafanya kesho ..sema baby mpya hajamchoka hivo ni kazi bureEndelea kuwa mbunifu,jitoe ufahamu na wewe upost Leo Katika Historia na Mjomba Mjomba a.k.a kama zake [emoji2][emoji2][emoji2]
Ndege wafananao....
Hahahahaha hauna akili ankooumenikumbusha ntafanya kesho ..sema baby mpya hajamchoka hivo ni kazi bure