makapuku, dah!! noma na nusu.Habari wana JF
Habari Makapuku wenzangu
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya makapuku wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote humu.
Makapuku natumaini nyote tutashirikiana katika jambo hapa JF. Bila kumsahau founder wa makapuku Bitoz shukrani kwake
Karibu sana
apo wajomba zangu Obe na Nigendako wanatamani kuhamia hukoMume bandia kwa ajili ya kupata nyumba ya kupangisha.
Mjini Lagos ni vigumu kwa wanawake wasio na waume kupangisha nyumba.
Wamiliki wa nyumba wanahisi kwamba wanawake ndio wanaoleta matatizo mengi mno, na wengi huwa na wasiwasi kwamba wanawake wanaoishi peke yao huenda ni makahaba na wanaweza kuwa na tabia ya kuleta kila aina ya wanaume majumbani mwao.
-
Wanawake mjini humu huwatafuta mwanamume ambaye pengine ni mjomba, binamu au rafiki ili waweze kufikia makubaliano ya kupata nyumba na mwenye nyumba au wakala moja kwa moja lakini ikibainika kwamba mwanamke huyo anadanganya basi mmiliki wa nyumba hiyo humfukuza.
View attachment 1798169
Au nimekosea Shunie?He he
Hahahahha una nini wewe baba wawilAu nimekosea Shunie?
mkuu shunie ndo ana connectionMambo yangu hayo, nipe connection mjomba
Hapo sawa shunie [emoji28][emoji28]Hahahahha una nini wewe baba wawil
Acha nikujibu basi
Asante kwa kushukuru
Acha tu nirukwe na akili...Shauri yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1798319
Hahaha kwani wewe unanifatiliaAcha tu nirukwe na akili...
Nipo poa kabisa baba wawili sijui wewe uko ulpoHapo sawa shunie [emoji28][emoji28]
Mambo vp? Uko poa wewe? Pole na majukumu ya siku nzima ya leo, japo siku haijaisha bado
Angekuwa ameshaniambia kama ana connectionmkuu shunie ndo ana connection
Niko poa pia shunie.. Uwe na jioni njemaNipo poa kabisa baba wawili sijui wewe uko ulpo