HahahhaHuna ubavu wa kuninunia kaone kwanza...
Unatafuta ugomvi ili uje kubembelezwa kwa kunaniliwa...Hahahha
Kwahiyo siwezi kukununia mbona natafuta ugomvi hapa ili nikununie
Enzi zile seminari! Unakula bangi Father anakudaka [emoji23]. Shule huna mzee.
Hahahha ebu ukoUnatafuta ugomvi ili uje kubembelezwa kwa kunaniliwa...
kaone kwanza... [emoji28][emoji1787]
Ukweli usemwe...Hahahha ebu uko
Hahhha na uwongo jeUkweli usemwe...
[emoji4]
Poleni ShunieNIACHIE NIKUACHIE
Polisi wa Israel akikabiliana na Mpalestina baada ya kutokea tena vurumai karibu na msikiti wa al-Aqsa mjini Jerusalem leo, saa chache tangu kuanza kutekelezwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Palestina.View attachment 1794283
Ya nini eti baba wawiliPoleni Shunie