Embu geuka basi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani wao wenyewe wanasemajeeee
Nikugeukia hapa auEmbu geuka basi...
Hapana... geuka kule...Nikugeukia hapa au
[emoji1787][emoji1787]Hapana... geuka kule...
Nisindikize nikuoneshe...[emoji1787][emoji1787]
Wapi uko
[emoji23][emoji23]Nisindikize nikuoneshe...
Poa za kwako nipo apa nakusikiliza joshyMambo Shunie? Shunie nina jambo nahitaji msaada wako.
Ahsante sana. Japo PM yako umefunga. Nilitaka pawepo na usiri Shunie.Poa za kwako nipo apa nakusikiliza joshy
Unacheka au unachekelea...[emoji23][emoji23]
Hunipendi kweli yaani tukakae jukwaa la yanga na jezi za simbaUnacheka au unachekelea...
Leo twende uwanja wa mkapa tunavaa jezi za Simba alafu tunaenda kukaa jukwaa la wana Yanga...