[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwenyewe najiona najijua sina kiuno nyigu nipo na kitambi changu cha chupa za kijaniShunie ww haujioni ujue, sisi ndio tunao ona
Hujaachaa hiyo tabia...au ndo chawa pro kapukuKi*no nyigu... Nice figure shunie
Kama kazi matokea yake yamekuwa zero nakusifiajeeeDah, kukupigania kote kule,haya ndio malipo yake mjombaa
Hahaha em watake radhi wenye vitambi shunie[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwenyewe najiona najijua sina kiuno nyigu nipo na kitambi changu cha chupa za kijani
Ila chupa ya kijani jamani kinaniletea kitambi na kuacha siwezi
[emoji28][emoji28]Aka kabeer [emoji847]
Acha tu unitoe tu kitambi ila babe ameshaniambia ananipenda hivyohivyo [emoji1787] eti ye hakioni mapenzi jamani lazima mdanganyane kidogoView attachment 1696931
Ha ha ha dah mjombaa chawa tenaHujaachaa hiyo tabia...au ndo chawa pro kapuku
Haya maneno umeyatoa kwa uchungu mjombaa, au umesahau tumeumbiwa kuhangaika mjombaaKama kazi matokea yake yamekuwa zero nakusifiajeee
Katumbo ka kachupa za kijani kaleeeNipe chakula nitanawa, nitakula nitashiba
Siku nikienda kulala nitaota mapenzi
Ukisikia naenda, nafura najiimbia
Kama ukisikia naimba naimba mapenzi
Ukiniona nalia, nifute machozi
Jua ukiniona nalia nalilia mapenzi [emoji2356][emoji2356][emoji2356]View attachment 1696941
Utakuwa ndio faunda mwenyewe[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwahiyo makapuku bila shunie hakuna kitu
Baba wawili unajua utamu wa hiyo beer acha kitambi kitoke sina jinsiHahaha em watake radhi wenye vitambi shunie
Na kuiacha ndio hauwezi tena, kitu cha baridi unakuta hadi kinatoa ki mvuke vuke cha ubarid[emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa jeKatumbo ka kachupa za kijani kaleee