Makapuku Forum

Makapuku Forum

Aka kabeer [emoji847]

Acha tu unitoe tu kitambi ila babe ameshaniambia ananipenda hivyohivyo [emoji1787] eti ye hakioni mapenzi jamani lazima mdanganyane kidogo
20210207_195842.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwenyewe najiona najijua sina kiuno nyigu nipo na kitambi changu cha chupa za kijani

Ila chupa ya kijani jamani kinaniletea kitambi na kuacha siwezi
Hahaha em watake radhi wenye vitambi shunie

Na kuiacha ndio hauwezi tena, kitu cha baridi unakuta hadi kinatoa ki mvuke vuke cha ubarid[emoji28]
 
Back
Top Bottom