[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sisi watu wazuri sana sema huwa mnakosea tu jinsi ya kuishi na sisiMimi naona ni kinyume kabisa, nilikuwa nasoma uzi flani mida si mrefu "jinsi gani uligundua umeachwa" mule ndani wanaume wamelalamika sana jinsi walivyochezea vibuti...nyie wanawake sio watu wazuri kabisa.
Hhahahahha mtu mnaishi wote tangaMimi napiga vyombo si mchezo..ukinikuta kwenye anga zangu ile sura utaisahau..mwambie Sakayo atoke kidogo huko mafichoni asitufanyie roho mbaya
Muda mwingine wanawake mnafanya mambo shetani mwenyewe anashangaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sisi watu wazuri sana sema huwa mnakosea tu jinsi ya kuishi na sisi
Acheni kutusingizia bwana sisi watu wazuri sanaMuda mwingine wanawake mnafanya mambo shetani mwenyewe anashangaa
Mi shwari.Hatujambo moud vipi wewe
Safi kabisa moud [emoji1]Mi shwari.
Habari za weekend mtoto Mlito, cheusi mangala, kibonge
mna raha sana huko.Hali ya hewa ya leo kama tupo arusha [emoji847]
Muwe mnafanya Ibada na maombi mengi mjiombee [emoji1787][emoji1787]Sema huku uswahilini kwetu sijui kuna mgao mbona wanatukatia umeme hivi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe si tupo wote dar mbona huku kwetu leo hakuna jua kalimna raha sana huko.
Sisi hapa kama tumeingizwa kwenye oven.
Tunaokwa, siyo kwa joto hili
Tunafanya sanaMuwe mnafanya Ibada na maombi mengi mjiombee [emoji1787][emoji1787]