Hii ni kweli.
Paka wa nyumbani aliwahi kuingia shamba karibu na nyumbani, akamuongoza nyoka aliye hai alikuja kumuua hapo nyumbani.
Watu waliogopa asee
Hii ni kweli.
Paka wa nyumbani aliwahi kuingia shamba karibu na nyumbani, akamuongoza nyoka aliye hai alikuja kumuua hapo nyumbani.
Watu waliogopa asee
...anko, kwa mujibu wa ramli chonganishi ambayo tu ndo kwanza nimemaliza kuiangalia hapa inaonekana kabisa Nigendako siyo ndugu yetu na ana nia mbaya sana na wewe, matatizo unayopitia ya kugonganisha wanawake kila mara na hujifunzi yeye anayafurahia badala ya kukusaidia.
Sasa tunafanyaje anko? Leo ni furahiday, hapa njoo pa siku ile ila usije na yule mwanamke MC maana anaongea sana alitaka kugombana na teller wako bila sababu za msingi.
Mengine jiandae maana mganga katoa masharti ya kimkakati