Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
We nae usituchoshe, kutupangia vitu vya kuongea kwani internet unatulipia wewe???fanyen kama mmekuwa aisee mnachobishan ni nini ongeleen vitu vya maan
We nae usituchoshe, kutupangia vitu vya kuongea kwani internet unatulipia wewe???fanyen kama mmekuwa aisee mnachobishan ni nini ongeleen vitu vya maan
Sasa dua la kuku halimpati mwewe..Kwa sababu mlitutesa saaana na ndio sababu El Clasico imekuwa ni mechi ya kuhamasisha Barcelona iwe nchi inayojitegemea
Hili ndio tangazo lenyewe uzur wa Jf mtu akiingia ataliona bandiko sio kama WhatsapWeka tangazo basi
![]()
![]()
![]()
![]()
et mbigiri au kwa kuwa nazo zinawaharibia
Labda goli nyingi za kufungwaSasa dua la kuku halimpati mwewe..
UEFA tunachukua tena kwa goal nyingi tuu
We nae usituchoshe, kutupangia vitu vya kuongea kwani internet unatulipia wewe???

nn maan ya ushoga
mimi sijui maana yake.. embu ww unayejua niambie maana yake?

Halafu anavyowatupiaHizi mbigili unaziokota wapi?
....au ndo chakla yake???Saw ni past tense ya seeK saw ni mtazamo tu
We nae usituchoshe, kutupangia vitu vya kuongea kwani internet unatulipia wewe???
kumbe nawe upo kwenye kitengo cha makavuHata mwaka juzi mlisema hvyo hvyo lakini nazan ulijionea mwenyewe jinsi tulivyoshinda goal nyingLabda goli nyingi za kufungwa
Followingsasa mkuu had mada za kupeana ushauri hautaki OK hebu weka mada tuchangie
Sidhani, atakuwa anawatupia tu kama utani.Halafu anavyowatupia....au ndo chakla yake???
Nahisi ni chakula ya bitoz maana anazipatia wap hzo picha tena ukiziangalia kwa makini zimepigwa nyumba mojaHalafu anavyowatupia....au ndo chakla yake???

Ni shiiidaKwani tumefanya nn mkuu?
Nahisi ni chakula ya bitoz maana anazipatia wap hzo picha tena ukiziangalia kwa makini zimepigwa nyumba moja![]()
ni mazingira tofauti jamani.Bitoz hatabiriki huenda anatoa ishara kuwa kama kuna wengine wapo humu wamfate pmSidhani, atakuwa anawatupia tu kama utani.
