Makapuku Forum

hey uku jaman Nina Kakitu nakawaza huk hiv kwann tusitengeneze group letu la whtsApp ambalo litatusaidia na pia kupeana taarifa mbali mbali au mnasemaje jamam
Itakuwa magumashi TU...nilikuwa na group 7 nimeifuta zote nimebakiza 1 TU(la ukoo/familia)
Watu huongea majungu tu WhatsApp hakuna la maana....

Km kufahamiana ht hapa kuna PM km una shida na mtu ...is easy
..............
 
Daaah hii ni hatar na ndio maana wajawazito wamekuwa wakishauriwa baada ya miez mitatu waache kutumia chips yai(mayai ya kisasa). kwani yanaleta homoni za Kishoga kwa mtoto aliyeko tumboni endapo ni wakiume
Ubasha ni tabia tu mkuu + kufuata mkumbo......kuna watu wana vibamia lkn hawawi mashoga wala nini
.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…