Makapuku Forum

Lee nakusalimia anko. Niko kwenye kampeni, sigombei wala sio mfuasi. Naendesha bodaboda, so nakodiwa sana.

Shunie miss you big time Behaviourist jukwaa kupoa ni sababu ya kila mmoja kujiuliza, kalifanyia nini jukwaa.


Happy almost furahiday. Makapuku ni kama bahari, mahari nilipo ni alhamis saa 5 asubuhi na mgombea keshatukodi wa bodaboda
 
Hahahah binamu kwahiyo unapata sana hela ya hesabu sababu ya kampeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…