ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,952
- 13,876
Sikukuu imeenda poa Alhamdulillah.. nilialikwa na jirani angu ningendako basi nimeinjoy[emoji4]Sikukuu yasemaje mpendwa?
Sikukuu imeenda poa Alhamdulillah.. nilialikwa na jirani angu ningendako basi nimeinjoy[emoji4]Sikukuu yasemaje mpendwa?
Kama mjumbee[emoji3]Mjumbeee
NakuonaaNajifariji et!
Alinialika mie usijali nimekuwakilisha.. [emoji4]...dah, binamu sijauona mwaliko. Sijui kwanini huwa nakuwa wa mwisho kujua. Ona sasa nimepitwa na mambo mazuri
Urohoooo...baba niniuu...dah, binamu sijauona mwaliko. Sijui kwanini huwa nakuwa wa mwisho kujua. Ona sasa nimepitwa na mambo mazuri
Sas si ungeenda na baba chanja wakoSikukuu imeenda poa Alhamdulillah.. nilialikwa na jirani angu ningendako basi nimeinjoy[emoji4]
Kamati ya roho mbayaKama mjumbee[emoji3]
Urohoooo...baba niniuu
Alinialika mie usijali nimekuwakilisha.. [emoji4]
Ni kweliKila nafsi itaonja mauti( imeandikea)
ahahah sio kwamba na wewe unashibaAsante darling, ukishiba wewe mimi nabaki na njaa
Ana wivu sana..Sas si ungeenda na baba chanja wako
[emoji3][emoji3][emoji3]Kamati ya roho mbaya
Kaah mi nilidhani utasema nawe unakuwa umeshibaAsante darling, ukishiba wewe mimi nabaki na njaa
Inapendeza mpendwa.Sikukuu imeenda poa Alhamdulillah.. nilialikwa na jirani angu ningendako basi nimeinjoy[emoji4]
Duuu....[emoji2][emoji2][emoji2] kumbe uroho una faida!?...siwezi kuchinja, hata kunyonga nishindwe? Binamu kanionea wivu tu nisifaidike na uroho wangu
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23]mpendwa wangu kwenye ubora wakoAsante darling, ukishiba wewe mimi nabaki na njaa
[emoji2][emoji1]ahahah sio kwamba na wewe unashiba
Mmmmh....!!!!Ana wivu sana..
[emoji1][emoji1]kula ule wewe yy ashibee...!!! Chiiii..... Hapna aiseee obe wangu kukupenda siachiiKaah mi nilidhani utasema nawe unakuwa umeshiba