MJINI SHULE!!
Chizi kaokota elfu kumi Mchaga mmoja aliekuwa anapita zake akamuona:
MCHAGA; Oyaa!!! samahani hicho ni kitambulisho changu!
CHIZI: Wewe hata kama sina akili vzuri hicho sio kitambulisho ni hela wewe.
MCHAGA: Angalia vzur!
CHIZI: Kama kwel ni kitambulish chako wewe unaitwa nani?
MCHAGA; Benki kuu ya Tanzania
CHIZI: Ulizaliwa mwak gan?
MCHAGA: Mwaka 10000
CHIZI: Dah! kweli chako samahani kwa usumbufu...
MCHAGA: Haina noma ukiviona vingine basi unitafute.
CHIZI😛oa