We jamaa uko vzuri kwa kweliKaanza kucheza lini messi na ronaldo kaanza kucheza la liga lini??
Alafu unajua licha ya miaka ya karibuni barca kuchukua ndoo sana ya la liga, ndo kwanza wako 24, real madrid wako 32. Maana yake barca ni katimu ka siku hizi!
P.S: mimi messi namkubali pia.
Barcelona ulaya ndio klabu inayoongoza kwa kuchukua jumla yote ya makombe mengi huku Arae8 hata top 5 haipoKaanza kucheza lini messi na ronaldo kaanza kucheza la liga lini??
Alafu unajua licha ya miaka ya karibuni barca kuchukua ndoo sana ya la liga, ndo kwanza wako 24, real madrid wako 32. Maana yake barca ni katimu ka siku hizi!
P.S: mimi messi namkubali pia.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Rihanna kapotea hawiki kama zamani nafikiri Brown alikuwa anampaisha saaana ila binafs naupenda ule wimbo wa SoooooryNa rihanna pia bila kumsahau Jlo
Na rihanna pia bila kumsahau Jlo
Rihanna yupo sana, we tu sio mfuatiliaji.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Rihanna kapotea hawiki kama zamani nafikiri Brown alikuwa anampaisha saaana ila binafs naupenda ule wimbo wa Sooooory
man u wazee wa kupanga matokeoLililo dhaniwa kuwa bomu pale OT
Ilikuwa ni kifaa cha mazoezi
Skynews wametoa taarifa haoa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yote kivipi?? Ktk msimu mmoja au??Barcelona ulaya ndio klabu inayoongoza kwa kuchukua jumla yote ya makombe mengi huku Arae8 hata top 5 haipo
Aaahman u wazee wa kupanga matokeo
Mimi nyimbo ya Rihanna nikikuwa naipenda ile na Drake sijui ooooh nana what's you're nameRihanna yupo sana, we tu sio mfuatiliaji.
Kuna mwingne love ur self ni mzuri zaid ya huu.
hakuna cha uzembe nyie ni wazee wa figisuAaah
Nyie ligalona sasa tumepangeje matokeo
Ila hili suala la leo ni uzembe mkubwa kabsaaa
Wanayo na take care, hukuipenda hyo?Mimi nyimbo ya Rihanna nikikuwa naipenda ile na Drake sijui ooooh nana what's you're name
Rihanna yupo sana, we tu sio mfuatiliaji.
nafikir utakuwa mpya huo japo mimi Music had niupende inachukua muda saana kuuzoea masikioni kwa sasa naupendaga Unconditionally ile ya Sauti SolKuna mwingne love ur self ni mzuri zaid ya huu.
Love on the brain, kiss is better, work and etc.Ana kibao gani kipya huyu dada?? Kwa kweli mi naona kapotea!!
Mimi nafikir kwa sasa hayuko moto kama mwanzo kipind yupo na Brown ila sasa limebaki jina kiufup angekuwa Bongo angekuwa hana tofaut na dudubayaWanayo na take care, hukuipenda hyo?
Huo hata mimi naupenda.nafikir utakuwa mpya huo japo mimi Music had niupende inachukua muda saana kuuzoea masikioni kwa sasa naupendaga Unconditionally ile ya Sauti Sol
Mkuu huko umeenda kutalii, au ni mahaba ya La liga yamekupeleka huko?Woyoooooooo sasa ngoja niende Mitaa ya Ibiza huku kwetu saa 9 jioni Page 400 sio mchezo