Makapuku Forum

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jifunze kitu picha ya chini halafu niambie nani anatisha
 
Jamaa ana tsha PNC 1 atak kukubali
Ni kweli anatisha sababu Penado ana ndege yake ila King hana na hyo ndege ya penado ndiyo inayompeleka kwa Bondia mpiga mateke huku Africa[emoji1] [emoji1]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ok kamata smartphone yako sijui ni TECNO ama Samsung ama HUAWEI au IPhone ama HTC au ajo Motorola au Lumia n.k na usibanduke ndani ya hii forum
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] okay
 
Reactions: PNC
Kumbukumbu za juzi tu zinaonyesha barca alipigwa WIKI on aggregate na The Bavarians, whiping boyz wa ulaya hao siku hizi.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Barcelona alipigwa wiki on Aggregate
kumbe kumfunga Barcelona Zaid ya 5 lazma ujumlishe mechi 2 VIP nyie mlikula 8 mechi 1 nikijumlisha mechi mbili si zitafika 15+
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Nahisi utakuwa wapenda Music na sitoshangaa kama Chris Brown au jay z na beyonce wakiawa mojawapo ya wasanii unaowazimia
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Barcelona alipigwa wiki on Aggregate
kumbe kumfunga Barcelona Zaid ya 5 lazma ujumlishe mechi 2 VIP nyie mlikula 8 mechi 1 nikijumlisha mechi mbili si zitafika 15+
Eb waache hao wameshika nafas ya pili EPL

Uwe mwangalifu
 
Reactions: PNC
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jifunze kitu picha ya chini halafu niambie nani anatishaView attachment 348001


Kaanza kucheza lini messi na ronaldo kaanza kucheza la liga lini??
Alafu unajua licha ya miaka ya karibuni barca kuchukua ndoo sana ya la liga, ndo kwanza wako 24, real madrid wako 32. Maana yake barca ni katimu ka siku hizi!
P.S: mimi messi namkubali pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…