Makapuku Forum

Mungu ni mwema sana jamani, utasahau kabisaa mpaka uwe muumini wa mirinda nyeusi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hiyo soda nainywa nikiwa na hamu nayo iwe ya baridiiiii
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waiiiiii acha vingine vinipite tu uko tiktok nikafanye nini na huu uzee nani anataka kuwa nusu chizi
Hivi hiyo app iko playstore?? Maana hata sielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…