platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,548
- 11,517
Bado unaitwa Mzee.Hahahaha ,safi sana km hujambo
Najua unaitikia kwa unyonge
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado unaitwa Mzee.Hahahaha ,safi sana km hujambo
Kuna Corona hapo, shauri yako!Kabeer katamu kaleView attachment 1388238
Not single, not taken, just waiting for something real!



Hahaha,sina unyonge mkuu ,miaka inavyoenda ndivyo nazeeka
Kwema,chibonge ,nawe Kwema?
Safi sanaHahahhaa sijambo sana
Mbona na we nakuitaga mzee


Aka kabeer katamu jamani Mzigua90 View attachment 1388170
Leo comedy saa ngapi?
Huu wimbo gani?
Niteke