Sijaenda naye ameniacha nyumbani mimi na presha naweza kuanguka uko tukifungwaHujaenda naye?
Ngapi ngapi huko?Sijaenda naye ameniacha nyumbani mimi na presha naweza kuanguka uko tukifungwa
Upo wapiJamani narudia tusikimbiane baadaye
[emoji23] [emoji23] [emoji23]yna2 kuna watu wamepota hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Upo wapi
Kuonekana hapa hadi kesho😂😂[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shunie kibonge mwenzangu Kuna habari gani jioni hii..!!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mikwara ya mchana..chaliiiiiiKuonekana hapa hadi kesho[emoji23][emoji23]
Binamu yangu Obe hawezi nifanyie kitu kibaya, zile ni fitina za mjombaa wangu tu
Hahaha, Upo chibonge[emoji23][emoji23][emoji23] huu Uzi bwana..najikutaga nacheka na comments
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha,niambie Shunie wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we mzee bwana
Kugandana gandana, kuzuga tunapendana mwisho twaanza kuulizaba sitaki mila sizitaki nyama [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mapenzi yana wenyewe, si wengine tuwache shobo tutazikwa wazima wazima [emoji1732][emoji1732][emoji1732]
DahKukesha kesha mawazo mzongo
Sitaki tena kupigana pigana naogopa chongo [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Kimya sana ,asee ,usifanye hivyo ,nitatuma mzigo halafu usijue
Nipo Sana ukimya upo kwakoKimya sana ,asee ,usifanye hivyo ,nitatuma mzigo halafu usijue
Hahahaha,si kweli , ngoja nije mitaa yako