Je wajua hadi ina mapumzikoTwendeleeeee baada ya mapumziko huku nikipata mabusu moto motooo
Nasubiri je wajua na mjomba mjombaa
He he heeeeJe wajua inakujia kwa udhamini mnono wa pedesheeee lee mme na kipenzi cha Shunie wenye wivu wakiongozwa na mjomba mtajinyongaa niko kifuaniiii hapa napewa nachostahili.....
Angalia je wajua ya mtoto mlito.. Angalia vizuri hiko ki emoj, narudia tena angalia vizuri mjomba..Mjombaa mbona kama mm n wewe sio ukoo mmojaaa...baby shunie kaendaaa jikoniiiii
Acha tumalizie kreta kwanza jirani,huyu inabdi akajipange upya kwanzaLeo umejua kunifurahisha jirani,sijui nikubusuilaa hapana njoo tumalizie kreti hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tumalizie kreta kwanza jirani,huyu inabdi akajipange upya kwanza
HayaWeeeeee kweli basi nabisha tena nabishaa kabisa haiwezekani muwe wote...
tuma picha niamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyewe huwa hasemi hivi, sijui inakuijia na udhamini mnono, maelezo mengi hadi tunachoka wasomaji...
Hii tumeikataaa, anza upya tena,bila kuanza upya tunajua hii je wajua ni fake tu
Wanakapukus hii Je Wajua ya leo mnaielewa kweli?
Umehamua kuja na je wajua yako?
Twendeleeeee baada ya mapumziko huku nikipata mabusu moto motooo
ya leo ni comedy!
Mjombaa mbona kama mm n wewe sio ukoo mmojaaa...baby shunie kaendaaa jikoniiiii
Hii ni fake aisee
Je wajua hadi ina mapumziko
Angalia je wajua ya mtoto mlito.. Angalia vizuri hiko ki emoj, narudia tena angalia vizuri mjomba..
Hebu anza upya, bila hvyp hatutamini mpo wote
View attachment 1373628
Namsaidiaaa laaanaziz nyongaaUmehamua kuja na je wajua yako?
Weweeee..
Wanafikiiiii watupuuuuLeo umejua kunifurahisha jirani,sijui nikubusuilaa hapana njoo tumalizie kreti hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia je wajua ya mtoto mlito.. Angalia vizuri hiko ki emoj, narudia tena angalia vizuri mjomba..
Hebu anza upya, bila hvyp hatutamini mpo wote
View attachment 1373628